Wito huo umetolewa na Prof. Issa Shivji ambae ni mwenyekiti wa Kigoda cha Mwalimu Nyerere katika mkutano wa 22 wa kila mwaka wa Mtandao wa Vikundi vya Wakulima nchini Tanzania. Mbali na hayo ...
Huku tanzania ikiadhimisha miaka 20 tangu kifo cha muasisi wa taifa hilo mwalimu Julius Nyerere, hatimaye rais John Pombe Magufuli amehamisha makao yake hadi mjini Dodoma, kutoka Dar es Salaam ...