Marekani imeipa Kenya helikopta mpya sita ambazo zitatumiwa kwenye vita dhidi ya wanamgambo wa al-Shabab nchini Somalia. Ndege mbili zaidi za helikopta aina ya Huey II, zitatolewa kwa Kenya mwezi Mei.
Kenya haitafuta haki za usafiri za kampuni ya ndege yenye makao yake Tanzania Precision Air ambayo itaanza safari zake kuelekea Jijini Nairobi siku ya Alhamisi licha ya mgogoro uliopo ambao ...