Jogoo Maurice, ambaye alishtakiwa kwasababu ya kuwika kila asubuhi, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 6. Jogoo huyo alishtakiwa kwa kupiga kelele na wanandoa waliostaafu ambao walikuwa wakati ...
Mtu mmoja ameuawa na Jogoo wake aliyekuwa amefungwa kisu mguuni kwa ajili ya mchezo uliopigwa marufuku wa kupambanisha jogoo Kusini mwa India. Mmiliki wa jogoo alichomwa kisu usawa wa kati ya ...