Mjasiriamali huyo anasema alipata msukumo zaidi wa kuendeleza biashara hiyo kutokana na tamko la Rais wa Tanzania John Magufuli wakati alipozuru eneo la Iringa na kutangaza kuwa Tanzania inaelekea ...
Pacha hao walifariki dunia wakiwa katika hospitali ya Iringa usiku wa kuamkia Jumamosi. Kifo chao kiliwagusa wengi Tanzania, wengi wakituma salamu zao za rambirambi kupitia mitandao ya kijamii.