Maelezo ya sauti, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Misingi ya Muungano pekee ulio hai barani Afrika 26 Aprili 2022 Tanzania hii leo inaadhimisha miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Matukio ya udhalilishaji wa watoto kama ubakaji na ulawiti si jambo geni huko visiwani Zanzibar. Kwa mujibu wa UNICEF, asilimia 64 miongoni mwa kesi za udhalilishaji, ni udhalilishaji wa kingono ...