Moja ya maeneo yanayokusanya watu wengi, hasa nyakati za jioni visiwani Zanzibar, ni Forodhani Garden, ukubwa wake si zaidi ya kilomita moja za mraba, lakini hubeba melfu ya wageni wa ndani na wa ...
Wakati huu wa vuguvugu la sherehe za mapinduzi Zanzibar kuna eneo moja maarufu ambalo kama ukienda Unguja hujafika hapo basi unakosa mengi. Ni Forodhani maarufu Foro, kuna nini? Zuhura Yunus ...