Serikali ya Tanzania imejikuta ndani ya mjadala mzito wenye misingi ya uwekezaji katika bandari za nchi hiyo, ambazo ni moja ya rasilimali muhimu za kiuchumi, huku Mamlaka ya usimamizi wa Bandari ...
Dar es Salaam ni mji wa pili Afrika mashariki kwa utajiri baada ya Nairobi, ambapo kwa jumla Afrika ni mji wa 12 na Nairobi mji wa sita. Mombasa ni mji wa 23 kwa utajiri Afrika. Tanzania kama ...