Nitasema zaidi siku zijazo." Huku akiambatanisha maneno hayo na picha yake na rais msaafu Ally Hassan Mwinyi wakiwa wanaangua kicheko. Chanzo cha picha, JMAKAMBA Mwanasiasa huyo mkongwe Tanzania ...
Rais mstaafu wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi ameaga dunia. Ali Hassan Mwinyi aliyeongoza Serekali ya Awamu ya Pili aliingia madarakani rasmi tarehe 5 Novemba 1985. Alizaliwa tarehe 5 mei ...