Idara ya kijasusi ya Uingereza ilisema kuwa Urusi inatumia ndege zake za kisasa zaidi za kizazi cha tano za kivita aina ya Su-57 katika vita na Ukraine, lakini huenda makabiliano yao yakatokea ...
Iran ilithibitisha mwezi Machi kuwa imetia saini mkataba wa kununua ndege za kivita za aina ya Su-35 kutoka Urusi. Lakini mchakato huu umechelewa. Wakati huo huo, Iran ilipokea ndege kadhaa za ...
Serikali inasema inapanga kuchunguza ndege zote za nchini humo za aina hiyo iliyopata ajali kwenye uwanja wa ndege uliopo kusini magharibi mwa nchi hiyo. Aidha serikali inasema kuna ndege 101 za ...
Ndege hiyo aina ya Embraer 190 ... Soma pia:Ndege ya abiria ya Azerbaijan yaanguka Rekodi za mifumo ya ufuatiliaji wa safari za ndege zilionyesha ndege hiyo ikitoka nje ya njia yake kabla ya ...
Korea Kusini inapanga kufanya ukaguzi wa ndege zake aina ya Boeing. Rais wa mpito ametangaza siku saba za maombolezo ya kitaifa. Kaimu rais ameagiza ukaguzi wa jumla wa shughuli zote za ndege nchini.