Ujasusi wa Uingereza ilichapisha picha za satelaiti za ndege tano aina ya Su-57 katika kituo cha anga cha Akhtubinsk - ndege hizi zina uwezekano mkubwa wa kushiriki katika operesheni dhidi ya ...
Serikali inasema inapanga kuchunguza ndege zote za nchini humo za aina hiyo iliyopata ajali kwenye uwanja wa ndege uliopo kusini magharibi mwa nchi hiyo. Aidha serikali inasema kuna ndege 101 za ...
Iran ilithibitisha mwezi Machi kuwa imetia saini mkataba wa kununua ndege za kivita za aina ya Su-35 kutoka Urusi. Lakini mchakato huu umechelewa. Wakati huo huo, Iran ilipokea ndege kadhaa za ...
Korea Kusini inapanga kufanya ukaguzi wa ndege zake aina ya Boeing. Rais wa mpito ametangaza siku saba za maombolezo ya kitaifa. Kaimu rais ameagiza ukaguzi wa jumla wa shughuli zote za ndege nchini.